Thursday, 22 January 2015

HABARI PICHA ZA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA

mkufunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha bi.Prisca Mzava akitoa maoni kutokana na vipindi vinavyoendeshwa kwa njia ya redio na wanafunzi chuoni hapo. (picha na: Agness Kinisa, Ruaha media)



wanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha wakisikiliza matangazo ya redio yanayorushwa kutoka katika studio za mafunzo zilizopo chuoni hapo. (picha na: Esther Danford, Ruaha media)

No comments:

Post a Comment