Friday, 23 January 2015

Habari picha wanafunzi wakiwa darasani

wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha wakiwa darasani. picha na Tumaini Mafie. Ruaha media

wanafunzi wa kitengo cha kompyuta  katika chuo cha uandishi  wa habari na utangazaji Arusha wakifanya mazoezi ya vitendo. picha na Diana Ringo, Ruaha media.

No comments:

Post a Comment