Friday, 23 January 2015

HABARI PICHA : SHAMRASHAMRA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA MBAUDA


Wafanyabiashara wakiuza bidhaa zao pembeni ya barabara katika soko la Mbauda jijini Arusha (Picha na Digna Mushi ,Ruaha Media)



Wafanyabiashara wa viatu wakiendelea na biashara katika soko la Mbauda jijini Arusha (Picha na Dulla Wellah , Ruaha Media )

No comments:

Post a Comment