Thursday, 22 January 2015

HABARI PICHA FAINALI YA LIGI YA JEZI.

 Wachezaji wa timu ya Paloti Fc kutoka unga limited,(jezi ya njano) wakichuana dhidi ya wapinzani wao Jahazi katika mchezo wa fainali Ligi ya jezi, uliofanyika katika uwanja wa fidifosi kwa morombo jijini Arusha.(Picha na Elizabeth Betha,Ruaha Media)


Wachezaji wa timu ya Paloti Fc wakishangilia bao la pili lililofungwa na straika wao Samuel (aliyevua jezi) katika Fainili ya ligi ya jezi iliyofanyika katika uwanja wa fidifosi kwa morombo jijini Arusha,ambako Paloti Fc iliibuka kidedea katika mchezo huo.(Picha na Martin Massawe,Ruaha Media)


No comments:

Post a Comment