Friday, 23 January 2015

Habari picha : wanawake wakisakata kabumbu

Timu ya wasichana ya wanafunzi wa level 5 kutoka katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha waliovaa jezi za bluu wakiwasalimia wachezaji wenzao wa level 4 kwa ajili ya kucheza mchezo wa kirafiki katika uwanja wa FFU (Picha na Phoibe Mligo ,ruaha class)
Wachezaji wa timu ya level 4 katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mchezo .(picha  na Happyness Babylus , ruaha media)



No comments:

Post a Comment