HABARI , MICHEZO , MATUKIO ,MAKALA , HABARI PICHA , BIASHARA , BURUDANI, VIPINDI VYA RADIO/TV
Friday, 23 January 2015
Angalia hapa [Official Music Video] Jux Sisikii
SHARED BY : EVALINE MOLLEL , RUAHA CLASS
HABARI PICHA : SHAMRASHAMRA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA MBAUDA
UMEIONA VIDEO YA 2FACE AKIMSHIRIKISHA T.PAIN?
Shared by Marry Thobias
Mpita Njia - Alicios ft. Juliana [Official Video]
SHARED BY PHOIBE MLIGO , RUAHA MEDIA
Angalia video ya Shika Moyo ya msanii (Vocaliser SDP) kutoka chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha
SHARED BY DULLA I. WELLAH ; RUAHA MEDIA
Tazama video ya Céline Dion - A New Day Has Come
SHARED BY REHEMA MBOWE , RUAHA MEDIA
Habari picha : wanawake wakisakata kabumbu
Timu ya wasichana ya wanafunzi wa level 5 kutoka katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha waliovaa jezi za bluu wakiwasalimia wachezaji wenzao wa level 4 kwa ajili ya kucheza mchezo wa kirafiki katika uwanja wa FFU (Picha na Phoibe Mligo ,ruaha class)
Wachezaji wa timu ya level 4 katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mchezo .(picha na Happyness Babylus , ruaha media) |
Christina Shusho - Nipe Macho [OFFICIAL VIDEO]
SHARED BY TUMAINI MAFIE ,RUAHA MEDIA
Habari picha wanafunzi wakiwa darasani
wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha wakiwa darasani. picha na Tumaini Mafie. Ruaha media |
wanafunzi wa kitengo cha kompyuta katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha wakifanya mazoezi ya vitendo. picha na Diana Ringo, Ruaha media. |
Thursday, 22 January 2015
TAZAMA: Msichana wa miaka 14 ajifungua watoto watatu
SHARED BY:CALVIN STANLEY,RUAHA MEDIA
TAZAMA VIDEO YA VITUKO USWAHILINI : Wanaume wawili wapigania mke mmoja Mombasa
SHARED BY : DULLA I.WELLA; Ruaha Media
tazama hapa (Official Video) Vanessa Mdee, Barnaba, Aika, Nahreel, AVID - WCD
SHARED BY: DULLA I.WELLAH ;Ruaha Media
TUNDU LISSU ALIVYO FYATUKA BUNGENI.(bofya hapa kutizama)
SHARED BY: CALVIN STANLEY,RUAHA MEDIA
TIZAMA VIDEO YA CHANDE FT BELLE 9- USICHELEWE
SHARED BY: AGNESS KINISA
BOFYA HAPA KUTIZAMA VIDEO KALI YA CHRIS BROWN ft RICK ROSS-NEW FLAME
SHARED BY MARTIN MASSAWE,RUAHA MEDIA
TIZAMA VIDEO KALI YA MWANADADA RIHANNA-OREZI
SHARED BY; ELIZABETH BETTHA,Ruaha Media
TIZAMA VIDEO MPYA YA Y TONY FT BARNABA- MAMA HAPA
SHARED BY: DIANA RINGO, RUAHA MEDIA
HABARI PICHA FAINALI YA LIGI YA JEZI.
Wachezaji wa timu ya Paloti Fc wakishangilia bao la pili lililofungwa na straika wao Samuel (aliyevua jezi) katika Fainili ya ligi ya jezi iliyofanyika katika uwanja wa fidifosi kwa morombo jijini Arusha,ambako Paloti Fc iliibuka kidedea katika mchezo huo.(Picha na Martin Massawe,Ruaha Media)
HABARI PICHA ZA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA
mkufunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha bi.Prisca Mzava akitoa maoni kutokana na vipindi vinavyoendeshwa kwa njia ya redio na wanafunzi chuoni hapo. (picha na: Agness Kinisa, Ruaha media) |
HABARI PICHA ZA SOKO LA KWA MOROMBO JIJINI ARUSHA.
Wednesday, 21 January 2015
TIZAMA HAPA MH KANGI LUGOLA ALIVOOMBA KUVAA KININJA BUNGENI WAKATI AKICHANGIA MADA YA ESCROW
Shared by Digna Mushi RUAHA MEDIA
tizama video mpya ya avril na ommy Dimpoz hapa
SHARED BY: ESTHER DANFORD, RUAHA MEDIA
TIZAMA VIDEO MPYA YA JUX HAPA
SHARED BY: REHEMA MBOWE, Ruaha media
HABARI PICHA ZA SHAMRASHAMRA ZA MKESHA WA MWAKA MPYA KKKT UNGALTD ARUSHA
Tuesday, 20 January 2015
NDUGU WA MAREHEMU WAMEUKOSA MWILI WA MTU WAO,KABURI HALIKUACHWA WAZI! STORY YOTE HAPA
Na Digna Mushi RUAHA
Mwili wa mtu aliyeuawa na mamba katika Ziwa Baringo, Kenya mwezi December inasemekana umezikwa bila idhini ya familia ya mtu huyo.
“Inatolewa inapelekwa mahali pengine ambayo hata hatujui ni ajabu sana… Sisi tumesema tunataka mwili wa mtoto wetu, tunataka mwili wa mtoto wetu mara moja” alisema ndugu wa marehemu.
Familia hiyo iliandaa kaburi la kumzika ndugu yao lakini ikashindikana kutokana na mwili wake kukosekana katika chumba cha kuhifadhia maiti ambapo inasemekana kuwa baada ya Polisi kufika katika eneo ambalo mtu huyo aliuawa na mamba, waliwaamrisha ndugu zake wasiufuate mwili huo kwa kuwa walikuwa wakiupeleka kuufanyia upasuaji ili kuweza kubaini kifo chake, lakini baadaye ndugu walipokea taarifa ya ndugu yao kuzikwa kwenye kaburi la siri.
“Mpaka sasa wazee wakasema okay chukueni miti ili ipresent huo mwili, ukiletwa inatolewa, hatuwezi kuchimba kaburi bila mtu… hii kaburi atakula watu sasa kwetu” alisema ndugu mwingine wa marehemu.
Familia hiyo imeitaka Serikali kuingilia kati ishu hiyo na kueleza nani aliyetoa maamuzi ya kuuzika mwili wa ndugu yao
Chanzo Millard Ayo
Monday, 19 January 2015
WANAFUNZI WAPINGA UNYAKUZI WA ARDHI KENYA
na Maria Thobias;Ruaha Media
Polisi nchinikenya katiika mji mkuu Nairobi leo imewafyetulia gesi ya kutoa machozi wanafunzi wa shule ya msingi waliokuwa wakiandamana kupinga unyakuzi wa ardhi waliyokuwa wanatumia kama kiwanja cha kuchezea na mmiliki binafsi.
Polisi hao wakiwa na Mbwa waliwatawanyta wanafunzi hao, baadhi yao wakisemekana kuwa watoto wenye umri wa miaka sita baada ya kuuangusha ukuta mpya uliojengwa kati ya shule yao na uwanja huo.
Wanafunzi hao walikuwa wamerejea shuleni Lang'ata baada ya mgomo wa wiki mbili wa walimu wa shule za umma walipopata kiwanja chao kikiwa kimeuzwa na hata kuwekwa uzio.
Shule hio ina karibu watoto 1,000 walo kati ya umri wa miaka mitatu na kumi na minne na inasimamiwa na baraza la jiji.
Wanafunzi kadhaa walijeruhiwa katika purukushani hilo wakati polisi walipoingilia kati na kujaribu kuwatawanya wanafunzi hao waliokuwa wanazua rabsha.
Baadhi yao walipelekewa hospitalini baada ya kupata majeraha madogomadogo.
Baadhi ya wanafunzi hao walikabiliana na polisi wakiwa wamebeba vijiti na kuwanyoshea.
Polisi mmoja alijeruhiwa baada ya kupigwa kwa mawe.
Walimu wa shule hio pia waliandamana wakisaidiwa na wanaharakati wa kisiasa.
Haijajulikana ambavyo mtu huyo aliweka uzio katika kiwanja hicho walichokuwa wakitumia wanafunzi kuchezea.
Baraza la jiji limesema kuwa ardhi hio ni ardhi ya serikali ingawa halijazungumzia ambavyo ardhi yenyewe iliuzwa ingawa wanaharakati wanasema kiwanja hicho kimeuzwa kwa tajiri anayepanga kukitumia kwa ujenzi.
Huu ndio unyama alioufanya mama kwa mtoto wake ndani ya saa 24 baada ya kujifungua
Na Digna Mushi RUAHA MEDIA GROUP
Mwendesha mashtaka aliyekua akisimamia kesi hiyo alisema mwanamke huyo Hyphernkemberly Dorvilier anashtakiwa kwa kosa la kuua kwa kukusudia.Polisi walipofika eneo la tukio walimkuta mtoto huyo akiteketea kwa moto katikati ya barabara ya makazi ya watu ambayo ni maili 30 kutoka jiji la Mashariki mwa mji waPhiladelpia na kumkimbiza katika hospitali ya St. Christopher lakini alifariki masaa mawili baada ya tukio hilo.Mashahidi walisema walimwona mama huyo akichoma kitu lakini hawakujua ni nini na walipomuuliza alisema alikuwa akichoma uchafu.
Sunday, 18 January 2015
Thursday, 15 January 2015
Fainali za tenesi zapigwa Tanzania
Katika fainali ya mchezaji mmoja mmoja Sada Nahiman wa Burundi alimfunga Mandi Juma Furaji wa Tanzania kwa seti 6-4 7-5.
Huku Abdoulshakur Kabura wa burundi akipata ushindi kwa seti 4-6 6-4 6-4 dhidi ya Damien Laporte wa Seychelles.
Katika michezo mingine Ernest Habiyambere wa Rwanda amemchapa Emanueli Malya wa Tanzania kwa jumla ya seti 4-6 7-6 na 6-4.
Yabsira Kadebe wa Ethiopia ameibuka kidedea kwa kumchapa Radjabu Ntambi wa Burundi kwa 6-2 6-2.
Kwa upande wa fainali ya wawili wawili Abdoulshakur Kabura na Jonathan Mugisha wa burundi wamewachapa Ryan Randiek na Keen Shan wa Kenya kwa seti 6-1 6-2.
Abraham Adelin na Georgina Kemmy wa Tanzania wamepata ushindi wa seti 6-1 6-1 dhidi ya Mwamini Bitungwa na Mariam Mujawiana wa Burundi
Michuano hii inayojumuisha wavulana na wasichana imegawanyika katika makundi matatu kutokana na umri Miaka kumi na sita , kumi na nne, na kumi na mbili.
Washindi watano wa jumla toka katika kila kundi wataenda kushiriki michuano ya tenesi ya Afrika kwa vijana itayofanyika Nchini Tunisia mwezi Machi.
CHANZO:BBCSWAHILI
Gazeti la Charlie Hebdo kuvunja rekodi
Mistari
mirefu imeshuhudiwa katika vituo vya kuuza magazeti nchini Ufaransa
huku mamia ya watu wakitaka kujipatia nakala jipya la gazeti la Charlie
Hebdo.
Nakala milioni 5 zimechapishwa , wiki moja baada ya vijana
wawili wa kiisilamu kuwaua watu 12 katika ofisi za jarida hilo pamoja na
watu wnegine watano katika mashambulizi tofauti mjini Paris.Jarida hilo limechapisha kibonzo kinachomuonyesha Mtume Muhammad akilia huku akishikilia bango linalosema ''mimi ni Charlie''.
Kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Al-Qaeda nchini Yemen, limedai kuhusika na mashambulizi yaliyofanyika dhidi ya jarida hilo.
Katika video ya dakika 12 iliyowekwa kwenye akaunti rasmi ya twitter ya wanamgambo hao wa AQAP, kiongozi wa kundi hilo anasema walipanga nani alengwe na hata kufadhili operation yote katika offisi za Charlie Hebdo.
Anasema aliyeamuru hilo kutekelezwa ni Ayman al-Zawahiri,mtu aliyemrithi marehemu Osama bin Laden aliekuwa kiongozi mkuu wa Al Qaeda .
Uhusiano kati ya kaka wawili waliofanya mashambulio hayo na AQAP ulikua tayari umebainika.
Hata hivyo ukanda huo wa video ni thibitisho kamili kwamba AQAP - ambayo Marekani wamekuwa wakiwataja kama kundi kali zaidi miongoni mwa makundi kadhaa ya wanamgambo wa kiislamu, linaweza kushambulia kwa namna ambayo wengine huenda wasiweze, licha ya kuwa halijajulikana sana kama lile kundi la Islamic state.
La kutiwa wasiwasi zaidi ni kuwa katika picha ya kanda hii ya video kiongozi huyo wa AQAP anaonekana akisimama kando ya bendera ya IS
CHANZO:BBC SWAHILI
Wednesday, 14 January 2015
Wanafunzi Udom wapigwa mabomu
Na EVALLINE MOLEL
15th January 2015
Katika vurugu hizo, polisi wealiwatia mbaroni wanafunzi 86 wanaosoma programu maalum ya Stashahada ya Ualimu kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani na kufanya maandamano.
Hisa za Jiji katika Uda kujadiliwa bungeni
Na Happyness Babylus
15th January 2015
Mabasi ya UDA.
Watanzania wanyongwa kwa mihadarati
NA EMANUEL MASAO
Kasisi
mmoja raia wa Australia amefichua na kuthibitisha kuwa kuna idadi kubwa
ya wafungwa wenye asili ya Afrika katika magereza ya Hong Kong, wengi
wao wakiwa ni kutoka Tanzania.
Subscribe to:
Posts (Atom)