Wanafunzi kutoka Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji kilichopo jijini Arusha wakiwa wanafanya usafi katika soko la Mbauda lililopo jijini humo.
MIUNDOMBINU MIBOVU PAMOJA NA UCHAFU ULIOKITHIRI NI
KERO KUBWA KWA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MBAUDA JIJINI ARUSHA.
No comments:
Post a Comment