Wednesday, 11 February 2015

UONGOZI WA SOKO LA MBAUDA UMEWASHUKURU WANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI NA UTANGAZAJI KWA KUJITOLEA KUFANYA USAFI SOKONI HAPO.


Uongozi wa soko la Mbauda  wamewashukuru wanafunzi wa chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha (AJTC)  kwa kujitolea kufanya usafi katika soko hilo .
Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha wakizoa takataka na kusafisha mitaro iliyoko kando ya soko la Mbauda  (Picha na Dulla I. Wellah , Ruaha Media)







Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha  AJTC wakiwa katika picha ya pamoja na Mkufunzi Verediana Akonay nje ya ofisi za soko hilo baada ya kumaliza kazi ya kusafisha soko hilo. (Picha na Dulla Wellah , Ruaha Media )





No comments:

Post a Comment