Wednesday, 4 March 2015

ZIARA YA DARASA LA RUAHA KATIKA HIFADHI YA ZIWA MANYARA

 
Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha wakipata picha ya pamoja baada ya kuwasili eneo la ziwa Manyara.Picha na {Rehema Mbowe}

HABARI PICHA Ziara katika hifadhi ya Taifa ya ziwa Manyara

Na Tumaini Mafie , Ruaha Media
Katikati ni makamu mkuu wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha Elifuraha Samboto akiwa na wanafunzi wa darasa la Ruaha katika chuo hicho walipotembelea hifadhi ya taifa ya ziwa Manyara (Picha na Tumaini Mafie , Ruaha Media )
Pichani ni wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha wakiwa katika picha ya pamoja pembezoni mwa ziwa manyara walipofanya ziara katika hifadhi ya taifa ya zowa hilo (Picha na Tumaini Mafie , Ruaha Media )

TAZAMA HAPA PICHA ZA WANYAMAPORI KATIKA HIFADHI YA ZIWA MANYARA.

  

Twiga akila majani katika hifadhi ya taifa ya ziwa Manyara(picha na DIGNA MUSHI Ruaha media)

Tembo katika hifadhi ya taifa ya ziwa manyara (picha na DIGNA MUSHA, Ruaha media)

HABARI PICHA : Tazama wanyama wanaopatikana ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Manyara

Maria Thobias ,Ruaha Media
Wanyama aina ya nyumbu wakiwa wanakula nyasi katika hifadhi ya taifa ya ziwa Manyara
(Picha na Maria Thobias , Ruaha media
)

Mnyama aina ya twiga akiwa anakula majani katika hifadhi ya taifa ya ziwa Manyara.
 (Picha na Maria Thobias , Ruaha Media )

UTALII KATIKA HIFADHI YA MANYARA

 Na;Evaline Mollel,(Ruaha Media)
Wanafunzi wa Arusha Journalism walipotembelea Ziwa Manyara mwishoni mwa wiki.(Picha na;Evaline Mollel)





Mnyama aina ya Tembo anaepatikana katika hifadhi ya Manyara.(Picha na; Evaline Mollel)

Tuesday, 3 March 2015

KIVUTIO CHA HIFADHI YA MANYARA

Na Martin Masawe/Ruaha Media
Mnyama mrefu kuliko wote katika hifadhi ya ziwa Manyara Twiga,akijitafutia chakula kwenye miti iliyopo kwenye hifadhi hiyo.(picha na Martin Masawe)

Wanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha wakiwa katika usafiri wa  baiskeli kuelekea kuliona ziwa manyara (mbeleni) katika moja ya safari za kimasomo.(picha na martin masawe)

wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari watembelea hifadhi ya ziwa manyara

na Agness Kinisa, Ruaha Media

    twiga wanopatikana katika hifadhi ya manyara. (picha na Agness Kinisa)
wanafunzi na wakufunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha wakiwa katika ufukwe wa ziwa . (picha na Agness Kinisa).